a
1Sam 16:16
;
2Nya 23:18
;
20:21
2 Chronicles 29:27
27
a
Hezekia akatoa amri ya kutoa sadaka ya kuteketezwa madhabahuni. Walipoanza kutoa sadaka, wakaanza pia kumwimbia
Bwana
pamoja na tarumbeta na zile ala za uimbaji za Daudi mfalme wa Israeli.
Copyright information for
SwhNEN